University of Dar es salaam Kigoma Students Association Network
Monday, December 6, 2010
Emmanuel R. Kikoba
Mwenyekiti wa UDKSAN Bw. Emmanuel R. Kikoba akifungua mkutano wa kuwakaribisha first year wa UDSM katika ukumbi wa Corner Bar Mabibo.
Aliwapongeza kwa kuchaguliwa, na kuwapa pole kwa mchakato wa mitihani ya kidato cha sita pamoja na pole ya changamoto za uchaguzi mkuu wa serikali.
No comments:
Post a Comment