UDKSAN HOME

Monday, December 6, 2010

Gaston Garubinde

M/kiti msaidizi wa mtandao wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDKSAN) akiwakaribisha first year na kuwapa nini maana ya UDKSAN ikiwa ni pamoja na kuwasomea na kufafanua vipengele mbalimbali vya katiba ya mtandao

No comments: