UDKSAN HOME

Sunday, February 6, 2011

James "Mjasiriamali"

(picha juu)Mjasiamali akiongea na members wa DKSAN kwenye kongamano lililofanyika Jommilah inn Ubungo Maziwa. Waliokaa kutoka kwa mjasiamali ni: Zitto Kabwe na Emmanuel Kikoba wakimsikiliza kwa umakini mkubwa.
(Picha ya chini) Ni mjasiriamali yuleyule (James) akiongea jambo na Zitto wakati wapresentation yake kwa UDKSAN. Zitto anaonekana akitamani sana jamaa angekuwa mbunge alisikika akinong'ona na mwenyekiti wa UDKSAN eti "Jamaa angegombea kupitia CHADEMA angekuwa mbunge"

No comments: