UDKSAN HOME

Sunday, February 6, 2011

Zitto Kabwe


             Hawa ni wana UDKSAN wakimsikiliza Mh.Zitto Kabwe wakati akiongea nao kwenye kongamano lililofanyika tar.5/02/2011 ndani ya Jommilah inn. Mh. aliongelea mambo mengi yanayouhusu mkoa wa Kigoma nakutoa changamoto nyingi kwa wana-UDKSAN ili kuuendeleza mkoa wao. Mambo kamili aliyozungumzia pamoja na michango ya wana UDKSAN itakuwa hewani tar.07/02/2011

No comments: