UDKSAN HOME

Wednesday, May 18, 2011

Makabidhiano ya uongozi

Juu: Mhazini mstaafu akimwonesha Mhazini mpya makabrasha aliyonayo kabla ya kumkabidhi
Chini: Mhazini Mstaafu akimkabidhi makabrasha na pesa taslimu alizokuwanazo mkononi








Juu: Katibu mstaafu Bw.Ernest Barnabas akimkabidhi katibu mpya Bw.Isdory na Chini ni makatibu hao wakipiga picha ya pamoja baada ya kukabidhiana mafaili.

Huyo ni Bw.Ernest Barnabas akiteta jambo wakati wa kikao cha makabidhiano Mabibo Complex huku m/kiti wake Kikoba (kushoto kwake) na katibu msaidizi Dotto (kulia kwake) wakimskiliza kwa makini. Picha tatu za chini ni viongozi wa UDKSAN wakiendelea na kikao chao cha makabidhiano





Juu ni katibu mpya Bw. Isidory akijaribu kukagua mafaili aliyopewa na katibu mstaafu, Chini Mwenyekiti mpya Bw.Mabula akiandika pointi na kuandaa hoja wakati wa kikao hicho cha makabidhiano huku Mhazini wake akimwangalia kwa makini kusubiri hoja itakayotoka kwa 'chair' wake.

No comments: